Walawi 6:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Kisha ataleta sadaka yake ya hatia kwa BWANA, ni kondoo dume wa katika kundi lake, mkamilifu, sawasawa na hesabu utakayomwandikia, kuwa sadaka ya hatia, na kumpa kuhani; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Kisha atamletea kuhani kondoo dume au mbuzi dume asiye na dosari amtolee Mwenyezi-Mungu sadaka ya kuondoa hatia; thamani ya mnyama huyo itakuwa ile ya kawaida ya kuondoa hatia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Kisha atamletea kuhani kondoo dume au mbuzi dume asiye na dosari amtolee Mwenyezi-Mungu sadaka ya kuondoa hatia; thamani ya mnyama huyo itakuwa ile ya kawaida ya kuondoa hatia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Kisha atamletea kuhani kondoo dume au mbuzi dume asiye na dosari amtolee Mwenyezi-Mungu sadaka ya kuondoa hatia; thamani ya mnyama huyo itakuwa ile ya kawaida ya kuondoa hatia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Kisha kama adhabu lazima amletee kuhani, yaani kwa Mwenyezi Mungu, kuwa sadaka yake ya hatia, kondoo dume kutoka kundi lake asiye na dosari, mwenye thamani kamili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Kisha kama adhabu lazima amletee kuhani, yaani kwa bwana, kama sadaka yake ya hatia, kondoo dume asiye na dosari na mwenye thamani kamili kutoka kundi lake. Tazama sura |