Walawi 4:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Kisha mafuta yote ya huyo ng'ombe wa sadaka ya dhambi atayaondoa; mafuta yote yafunikayo matumbo, na mafuta yote yaliyo katika matumbo, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Kisha atayaondoa mafuta yote ya ng'ombe huyo: Mafuta yanayofunika matumbo, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Kisha atayaondoa mafuta yote ya ng'ombe huyo: Mafuta yanayofunika matumbo, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Kisha atayaondoa mafuta yote ya ng'ombe huyo: mafuta yanayofunika matumbo, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Atayaondoa mafuta yote ya fahali huyo wa sadaka ya dhambi: mafuta yale yanayofunika sehemu za ndani au zile zinazounganika nazo, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Atayaondoa mafuta yote ya fahali huyo wa sadaka ya dhambi, mafuta yale yanayofunika sehemu za ndani au zile zinazounganika nazo, Tazama sura |
kisha atayaondoa mafuta yake yote, kama mafuta ya mwana-kondoo yalivyoondolewa katika hizo sadaka za amani; kisha kuhani atayateketeza juu ya madhabahu, kwa desturi ya hizo sadaka za BWANA zilizosongezwa kwa njia ya moto; na kuhani atamfanyia upatanisho kwa ajili ya hiyo dhambi yake aliyoifanya, naye atasamehewa.