Walawi 4:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Kisha huyo kuhani aliyetiwa mafuta atatwaa baadhi ya damu ya huyo ng'ombe, na kuileta ndani ya hiyo hema ya kukutania; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Huyo kuhani, aliyepakwa mafuta atachukua kiasi cha damu na kuingia nayo ndani ya hema la mkutano. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Huyo kuhani, aliyepakwa mafuta atachukua kiasi cha damu na kuingia nayo ndani ya hema la mkutano. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Huyo kuhani, aliyepakwa mafuta atachukua kiasi cha damu na kuingia nayo ndani ya hema la mkutano. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Kisha kuhani huyo aliyepakwa mafuta atachukua sehemu ya damu ya huyo fahali na kuileta katika Hema la Kukutania. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Kisha kuhani huyo aliyetiwa mafuta atachukua sehemu ya damu ya huyo fahali na kuileta katika Hema la Kukutania. Tazama sura |