Walawi 4:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Kisha atayaondoa mafuta yake yote na kuyateketeza juu ya madhabahu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Mafuta yote ya mnyama huyo atayachukua na kuyateketeza kwenye madhabahu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Mafuta yote ya mnyama huyo atayachukua na kuyateketeza kwenye madhabahu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Mafuta yote ya mnyama huyo atayachukua na kuyateketeza kwenye madhabahu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Atayaondoa mafuta yote ya yule fahali na kuyateketeza juu ya madhabahu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Atayaondoa mafuta yote ya yule fahali na kuyateketeza juu ya madhabahu, Tazama sura |
kisha atayaondoa mafuta yake yote, kama mafuta ya mwana-kondoo yalivyoondolewa katika hizo sadaka za amani; kisha kuhani atayateketeza juu ya madhabahu, kwa desturi ya hizo sadaka za BWANA zilizosongezwa kwa njia ya moto; na kuhani atamfanyia upatanisho kwa ajili ya hiyo dhambi yake aliyoifanya, naye atasamehewa.