Walawi 4:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 kisha ng'ombe atachinjwa mbele za BWANA. Kisha kuhani aliyetiwa mafuta atatwaa baadhi ya damu ya huyo ng'ombe na kuileta ndani ya hema ya kukutania; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Yule kuhani aliyeteuliwa rasmi kwa kupakwa mafuta ataleta sehemu ya damu ya huyo fahali ndani ya hema la mkutano. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Yule kuhani aliyeteuliwa rasmi kwa kupakwa mafuta ataleta sehemu ya damu ya huyo fahali ndani ya hema la mkutano. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Yule kuhani aliyeteuliwa rasmi kwa kupakwa mafuta ataleta sehemu ya damu ya huyo fahali ndani ya hema la mkutano. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Kisha kuhani aliyepakwa mafuta ataingiza sehemu ya damu ya huyo fahali ndani ya Hema la Kukutania. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Kisha kuhani aliyetiwa mafuta ataiingiza sehemu ya damu ya huyo fahali ndani ya Hema la Kukutania. Tazama sura |