Walawi 4:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 vile vile kama yanavyoondolewa katika ng'ombe wa kuchinjwa kwa sadaka za amani; kisha huyo kuhani atayateketeza juu ya madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Kuhani atazichukua na kuziteketeza juu ya madhabahu ya kuteketezea sadaka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Kuhani atazichukua na kuziteketeza juu ya madhabahu ya kuteketezea sadaka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Kuhani atazichukua na kuziteketeza juu ya madhabahu ya kuteketezea sadaka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 kama vile mafuta yanavyoondolewa kutoka kwa ng’ombe aliyetolewa sadaka ya amani. Kisha kuhani ataviteketeza juu ya madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 kama vile mafuta yanayoondolewa kutoka kwenye maksai aliyetolewa sadaka ya amani. Kisha kuhani ataviteketeza juu ya madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa. Tazama sura |