Walawi 3:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Na matoleo yake kwa sadaka za amani atakayomchinjia BWANA, kwamba ni katika kundi la kondoo; dume au jike, atamtoa huyo aliye mkamilifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 “Kama sadaka hiyo ya kufanya amani unayomtolea Mwenyezi-Mungu ni kutoka kundi la kondoo au mbuzi, basi achaguliwe dume au jike asiye na dosari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 “Kama sadaka hiyo ya kufanya amani unayomtolea Mwenyezi-Mungu ni kutoka kundi la kondoo au mbuzi, basi achaguliwe dume au jike asiye na dosari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 “Kama sadaka hiyo ya kufanya amani unayomtolea Mwenyezi-Mungu ni kutoka kundi la kondoo au mbuzi, basi achaguliwe dume au jike asiye na dosari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 “ ‘Akitoa kondoo au mbuzi kutoka kundi kuwa sadaka ya amani kwa Mwenyezi Mungu, atamtoa dume au jike asiye na dosari. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 “ ‘Kama akitoa kondoo au mbuzi kutoka kundi kama sadaka ya amani kwa bwana, atamtoa dume au jike asiye na dosari. Tazama sura |