Walawi 3:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 na figo zake mbili, na mafuta yaliyoshikamana nazo, yaliyo karibu na kiuno, na hicho kitambi kilicho katika ini, pamoja na hizo figo; hayo yote atayaondoa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Atatoa pia zile figo mbili na mafuta yake pamoja na ile sehemu bora ya ini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Atatoa pia zile figo mbili na mafuta yake pamoja na ile sehemu bora ya ini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Atatoa pia zile figo mbili na mafuta yake pamoja na ile sehemu bora ya ini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 figo zote pamoja na mafuta yaliyozifunika karibu na kiuno, na kipande kirefu cha ini; utayaondoa pamoja na figo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 figo zote pamoja na mafuta yote yanayozizunguka karibu na kiuno na yale yanayofunika ini, ambayo atayaondoa pamoja na figo. Tazama sura |