Walawi 3:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Neno hili litakuwa amri ya daima, katika vizazi vyenu vyote, ndani ya nyumba zenu zote, ya kwamba hamtakula mafuta wala damu kabisa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Ndiyo maana siku zote na mahali popote mtakapokaa ni lazima kushika kanuni hii. Kamwe msile mafuta wala damu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Ndiyo maana siku zote na mahali popote mtakapokaa ni lazima kushika kanuni hii. Kamwe msile mafuta wala damu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Ndiyo maana siku zote na mahali popote mtakapokaa ni lazima kushika kanuni hii. Kamwe msile mafuta wala damu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 “ ‘Hili ni agizo la kudumu kwa vizazi vijavyo, popote mnapoishi: Msile mafuta yoyote ya mnyama wala damu.’ ” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 “ ‘Hii ni kanuni ya kudumu kwa vizazi vijavyo, popote muishipo: Msile mafuta yoyote ya mnyama wala damu.’ ” Tazama sura |