Walawi 3:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 na figo zake mbili, na mafuta yaliyoshikamana nazo, yaliyo karibu na kiuno chake, na kitambi kilicho katika ini, pamoja na hizo figo; hayo yote atayaondoa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 zile figo mbili na mafuta yake pamoja na sehemu bora ya ini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 zile figo mbili na mafuta yake pamoja na sehemu bora ya ini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 zile figo mbili na mafuta yake pamoja na sehemu bora ya ini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 figo mbili pamoja na mafuta yanayozifunika yaliyo karibu na kiuno, na kipande kirefu cha ini, ambayo utayaondoa pamoja na figo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 figo mbili pamoja na mafuta yanayozizunguka yaliyo karibu na kiuno na yale yanayofunika ini, ambayo atayatoa pamoja na figo. Tazama sura |