Walawi 27:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC34 Haya ndiyo maagizo, BWANA aliyomwagiza Musa kwa ajili ya wana wa Israeli katika mlima wa Sinai. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Hizo ndizo amri ambazo Mwenyezi-Mungu alimwamuru Mose ili awaambie Waisraeli, mlimani Sinai. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Hizo ndizo amri ambazo Mwenyezi-Mungu alimwamuru Mose ili awaambie Waisraeli, mlimani Sinai. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Hizo ndizo amri ambazo Mwenyezi-Mungu alimwamuru Mose ili awaambie Waisraeli, mlimani Sinai. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Haya ndio maagizo Mwenyezi Mungu aliyompa Musa juu ya Mlima Sinai kwa ajili ya Waisraeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Haya ndiyo maagizo bwana aliyompa Musa juu ya Mlima Sinai kwa ajili ya Waisraeli. Tazama sura |