Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Walawi 27:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

22 Tena kama akiweka wakfu kwa BWANA shamba ambalo amelinunua, ambalo si shamba la milki yake;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 “Kama mtu akiweka wakfu shamba alilonunua, yaani sio lake kwa urithi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 “Kama mtu akiweka wakfu shamba alilonunua, yaani sio lake kwa urithi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 “Kama mtu akiweka wakfu shamba alilonunua, yaani sio lake kwa urithi,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 “ ‘Kama mtu ameweka wakfu kwa Mwenyezi Mungu shamba alilonunua, ambalo si sehemu ya ardhi ya jamaa yake,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 “ ‘Kama mtu ameweka wakfu kwa bwana shamba alilonunua, ambalo si sehemu ya ardhi ya jamaa yake,

Tazama sura Nakili




Walawi 27:22
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na mwaka wa hamsini mtautakasa, na kuwatangazia uhuru watu wote katika nchi; itakuwa ni mwaka wa jubilii kwenu; na kila mtu atairudia milki yake, na kila mtu atarejea kwa jamaa yake.


Ikiwa nduguyo amekuwa maskini, na kuuza sehemu ya milki yake, ndipo jamaa yake aliye karibu naye atakuja, naye ataikomboa ile aliyoiuza nduguye.


Na mtu atakapoiweka nyumba yake iwe wakfu kwa BWANA ndipo kuhani ataihesabu kima chake hiyo nyumba, ikiwa njema ikiwa mbaya; kama kuhani atakavyoihesabu kima chake ndivyo itakavyokuwa.


ila hilo shamba litakuwa takatifu kwa BWANA litakapotoka katika jubilii, kama ni shamba lililowekwa wakfu; litakuwa mali ya kuhani.


ndipo kuhani atamhesabia kima cha kuhesabu kwako hata mwaka wa jubilii: naye atatoa siku hiyo kama hesabu yako, kuwa ni kitu kitakatifu kwa BWANA.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo