Walawi 27:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 ila hilo shamba litakuwa takatifu kwa BWANA litakapotoka katika jubilii, kama ni shamba lililowekwa wakfu; litakuwa mali ya kuhani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Katika mwaka wa ukumbusho wa miaka hamsini shamba hilo litaachiliwa na kuwa lake Mwenyezi-Mungu milele. Kuhani ndiye atakayelimiliki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Katika mwaka wa ukumbusho wa miaka hamsini shamba hilo litaachiliwa na kuwa lake Mwenyezi-Mungu milele. Kuhani ndiye atakayelimiliki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Katika mwaka wa ukumbusho wa miaka hamsini shamba hilo litaachiliwa na kuwa lake Mwenyezi-Mungu milele. Kuhani ndiye atakayelimiliki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Shamba hilo litakapoachiwa Mwaka wa Yubile, litakuwa takatifu, kama shamba lililotolewa kwa Mwenyezi Mungu, nalo litakuwa mali ya makuhani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Shamba hilo litakapoachiwa mwaka wa Yubile, litakuwa takatifu, kama shamba lililotolewa kwa bwana, nalo litakuwa mali ya makuhani. Tazama sura |