Walawi 27:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Yeye hatamgeuza, wala kumbadili mwema kwa mbaya, au mbaya kwa mwema; ikiwa atabadili mnyama kwa mnyama yeyote, ndipo mnyama huyo na yule waliobadiliwa wote wawili watakuwa watakatifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Hairuhusiwi kumbadilisha mnyama huyo kwa mwingine awaye yeyote, mzuri kwa mbaya au mbaya kwa mzuri. Kama akimbadilisha kwa mnyama mwingine, wote wawili watakuwa watakatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Hairuhusiwi kumbadilisha mnyama huyo kwa mwingine awaye yeyote, mzuri kwa mbaya au mbaya kwa mzuri. Kama akimbadilisha kwa mnyama mwingine, wote wawili watakuwa watakatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Hairuhusiwi kumbadilisha mnyama huyo kwa mwingine awaye yeyote, mzuri kwa mbaya au mbaya kwa mzuri. Kama akimbadilisha kwa mnyama mwingine, wote wawili watakuwa watakatifu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mtu haruhusiwi kumbadilisha au kutoa mnyama mzuri kwa mbaya, au mnyama mbaya kwa mzuri. Kama atatoa mnyama badala ya mwingine, wanyama wote wawili, yaani yule aliyetolewa na yule aliyebadiliwa, ni watakatifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Mtu haruhusiwi kumbadilisha au kutoa mnyama mzuri kwa mbaya, au mnyama mbaya kwa mzuri. Kama atatoa mnyama badala ya mwingine, wanyama wote wawili, yaani yule aliyetolewa na yule aliyebadiliwa, ni watakatifu. Tazama sura |