Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Walawi 26:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

27 Tena ikiwa baada ya hayo yote hamtaki kunisikiza, bali mnaenda kinyume;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 “Na kama hata baada ya hayo yote bado hamtanisikiliza mkaendelea kunipinga,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 “Na kama hata baada ya hayo yote bado hamtanisikiliza mkaendelea kunipinga,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 “Na kama hata baada ya hayo yote bado hamtanisikiliza mkaendelea kunipinga,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 “ ‘Kama hata baada ya haya bado hamtanisikiliza lakini mkaendelea kuweka uadui nami,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 “ ‘Kama hata baada ya haya bado hamtanisikiliza lakini mkaendelea kuweka uadui nami,

Tazama sura Nakili




Walawi 26:27
6 Marejeleo ya Msalaba  

Basi, tukamtokosa mtoto wangu, tukamla; nikamwambia siku ya pili, Mtoe mtoto wako, tumle; naye amemficha mtoto wake.


Nanyi ikiwa mnaenda kinyume changu, wala hamtaki kunisikiza; nitaleta mapigo mara saba zaidi juu yenu, kama dhambi zenu zilivyo.


nami nitawapiga, mara saba kwa ajili ya dhambi zenu.


Hapo nitakapovunja tegemeo lenu la mkate, wanawake kumi wataoka mikate yenu katika tanuri moja, nao watawapa mikate yenu tena kwa kupima kwa mizani; nanyi mtakula, lakini hamtashiba.


ndipo nami nitawaendea kinyume katika ghadhabu yangu; nami nitawaadhibu mara saba kwa dhambi zenu.


Kama vile mataifa yale ambayo BWANA anawaangamiza mbele yenu, ndivyo mtakavyoangamia; kwa sababu hamkutaka kuisikiliza sauti ya BWANA, Mungu wenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo