Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Walawi 25:44 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

44 Tena kuhusu watumishi wako na wajakazi wako, utakaokuwa nao; mataifa walio kando yenu, katika hao mtanunua watumishi na wajakazi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

44 Kuhusu watumwa, wa kike na wa kiume, unaweza kuwanunua kutoka kwa watu wa mataifa mengine ya jirani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

44 Kuhusu watumwa, wa kike na wa kiume, unaweza kuwanunua kutoka kwa watu wa mataifa mengine ya jirani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

44 Kuhusu watumwa, wa kike na wa kiume, unaweza kuwanunua kutoka kwa watu wa mataifa mengine ya jirani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

44 “ ‘Watumwa wako wa kiume na wa kike watatoka katika mataifa yanayokuzunguka; unaweza kununua watumwa kutoka kwao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

44 “ ‘Watumwa wako wa kiume na wa kike watatoka katika mataifa yanayokuzunguka; kutoka kwao waweza kununua watumwa.

Tazama sura Nakili




Walawi 25:44
7 Marejeleo ya Msalaba  

lakini mtumishi wa mtu awaye yote aliyenunuliwa kwa fedha, ukiisha kumtahiri, ndipo hapo atamla Pasaka.


Lakini akipona siku moja au mbili hataadhibiwa; maana, ni mali yake.


Usitawale juu yake kwa nguvu; ila umche Mungu wako.


Tena wana wa wageni wakaao kati yenu mtajinunulia, na katika jamaa zao walio pamoja nanyi, waliowazaa katika nchi yenu; wao watakuwa milki yenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo