Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Walawi 25:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

33 Tena mtu mmoja wa hao Walawi akikomboa nyumba iliyouzwa na mji wa milki yake, itatoka katika jubilii; maana, hizo nyumba za miji ya Walawi ni milki yao kati ya wana wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Ikiwa mmoja wa Walawi haitumii haki yake ya kukomboa, basi, nyumba iliyouzwa ni lazima irudishwe kwa mwenyewe katika mwaka wa kukumbuka miaka hamsini, kwani nyumba zilizomo katika miji wanayomiliki Walawi wamepewa kama sehemu yao kutoka kwa watu wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Ikiwa mmoja wa Walawi haitumii haki yake ya kukomboa, basi, nyumba iliyouzwa ni lazima irudishwe kwa mwenyewe katika mwaka wa kukumbuka miaka hamsini, kwani nyumba zilizomo katika miji wanayomiliki Walawi wamepewa kama sehemu yao kutoka kwa watu wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 Kwa hiyo mali ya Mlawi inaweza kukombolewa, yaani nyumba iliyouzwa katika mji wowote wanaoushikilia itarudishwa Mwaka wa Yubile, kwa sababu nyumba zilizo katika miji ya Walawi ni mali yao miongoni mwa Waisraeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Kwa hiyo mali ya Mlawi inaweza kukombolewa, yaani nyumba iliyouzwa katika mji wowote wanaoushikilia itarudishwa mwaka wa Yubile, kwa sababu nyumba zilizo katika miji ya Walawi ni mali yao miongoni mwa Waisraeli.

Tazama sura Nakili

Walawi 25:33
4 Marejeleo ya Msalaba  

Pamoja na hayo, miji ya Walawi, nyumba za miji ya milki yao, Walawi wana ruhusa ya kuzikomboa majira yoyote.

Lakini konde la malisho ya miji yao lisiuzwe kwa kuwa ni milki yao ya daima.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo