Walawi 25:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Nanyi mtatoa ukombozi kwa ajili ya nchi, katika eneo lote la milki yenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Ndiyo maana katika nchi yote mtakuwa na utaratibu wa kuikomboa ardhi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Ndiyo maana katika nchi yote mtakuwa na utaratibu wa kuikomboa ardhi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Ndiyo maana katika nchi yote mtakuwa na utaratibu wa kuikomboa ardhi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Katika nchi yote mtakayoshika kuwa milki yenu, ni lazima mtoe ukombozi wa ardhi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Katika nchi yote mtakayoshika kuwa milki yenu, ni lazima mtoe ukombozi wa ardhi. Tazama sura |