Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Walawi 25:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

22 Na mwaka wa nane mtapanda mbegu, na kuyala yale matunda, akiba hiyo ya zamani, hata mwaka wa tisa, hadi matunda yake yatakapoletwa ndani, mtakula hiyo akiba ya zamani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Mtakapopanda katika mwaka wa nane mtakuwa mnakula mazao ya zamani na mtaendelea kula tu hata mwaka wa tisa mtakapoanza tena kuvuna.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Mtakapopanda katika mwaka wa nane mtakuwa mnakula mazao ya zamani na mtaendelea kula tu hata mwaka wa tisa mtakapoanza tena kuvuna.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Mtakapopanda katika mwaka wa nane mtakuwa mnakula mazao ya zamani na mtaendelea kula tu hata mwaka wa tisa mtakapoanza tena kuvuna.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Mnapopanda mwaka wa nane, mtakula mavuno ya miaka iliyopita, na mtaendelea kuyala mazao hayo hadi mvune mavuno ya mwaka wa tisa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Mnapopanda mwaka wa nane, mtakula mavuno ya miaka iliyopita. Pia mtaendelea kuyala mazao hayo hadi mvune mavuno ya mwaka wa tisa.

Tazama sura Nakili




Walawi 25:22
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na kwako wewe hii ndiyo dalili; mwaka huu mtakula vitu viotavyo vyenyewe; na mwaka wa pili mtakula mazao ya vitu hivyo; na mwaka wa tatu pandeni mbegu, kavuneni; mkapande mashamba ya mizabibu, mkale matunda yake.


Kisha itakuwa siku ya sita, ya kwamba watayaandaa hayo watakayoleta ndani, nayo yatakuwa ni mara mbili kuliko wayaokotayo kila siku.


Na kwako wewe dalili ndiyo hii; mwaka huu mtakula vitu vimeavyo vyenyewe; na mwaka wa pili mtakula mazao ya mbegu za vitu hivyo; na mwaka wa tatu pandeni mbegu, kavuneni; mkapande mizabibu katika mashamba, mkale matunda yake.


Nayo nchi haitauzwa kabisa kabisa; kwani nchi ni yangu mimi; maana ninyi ni wageni na wapangaji wangu.


Nanyi mtakula akiba ya zamani mliyoiweka siku nyingi, tena hayo ya zamani mtayatoa, ili myaweke yaliyo mapya.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo