Walawi 25:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 ndipo nitawaamria baraka yangu iwe juu yenu mwaka wa sita, nayo inchi itazaa matunda ya kutosha miaka mitatu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Haya! Mimi nitaibariki nchi katika mwaka wa sita nayo itawapeni mazao ya kuwatosha kwa miaka mitatu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Haya! Mimi nitaibariki nchi katika mwaka wa sita nayo itawapeni mazao ya kuwatosha kwa miaka mitatu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Haya! Mimi nitaibariki nchi katika mwaka wa sita nayo itawapeni mazao ya kuwatosha kwa miaka mitatu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Nitawaletea baraka ya pekee katika mwaka wa sita, ili nchi iweze kuzalisha mazao ya kuwatosha kwa miaka mitatu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Nitawapelekeeni baraka ya pekee katika mwaka wa sita, kwamba nchi itazalisha mazao ya kutosha kwa miaka mitatu. Tazama sura |