Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Walawi 25:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

15 kwa hesabu ya miaka iliyo baada ya jubilii, ndivyo utakavyonunua kwa jirani yako, na kama hesabu ya miaka ya mavuno ndivyo atakavyokuuzia wewe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Bei ya ardhi ni lazima ilingane na miaka kabla ya kurudishwa kwa mwenyewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Bei ya ardhi ni lazima ilingane na miaka kabla ya kurudishwa kwa mwenyewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Bei ya ardhi ni lazima ilingane na miaka kabla ya kurudishwa kwa mwenyewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Utanunua ardhi kwa mzawa wa nchi yako kulingana na hesabu ya miaka baada ya Yubile. Naye muuzaji ataiuza kwako kulingana na hesabu ya miaka iliyobaki ya kuvuna mavuno.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Utanunua ardhi kwa mzawa wa nchi yako kwa misingi ya hesabu ya miaka baada ya Yubile. Naye ataiuza kwako kwa misingi ya hesabu ya miaka iliyobaki kwa kuvuna mavuno.

Tazama sura Nakili




Walawi 25:15
4 Marejeleo ya Msalaba  

Tena kama ukimwuzia jirani yako chochote, au kununua chochote mkononi mwa jirani yako, msidanganyane wenyewe kwa wenyewe;


Kama hesabu ya miaka ilivyo ni nyingi ndivyo utakavyoongeza bei yake, na kama hesabu ya miaka ilivyo ni chache ndivyo utakavyopunguza bei yake; kwani yeye akuuzia mavuno kama hesabu yake ilivyo.


Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana yuko karibu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo