Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Walawi 25:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 Kwa kuwa ni jubilii; utakuwa mwaka mtakatifu kwenu; mtakula mavuno yake yatokayo shambani.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Mwaka huo ni wa sikukuu kwenu; utakuwa mwaka mtakatifu. Hivyo mtakula yale yanayoota yenyewe mashambani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Mwaka huo ni wa sikukuu kwenu; utakuwa mwaka mtakatifu. Hivyo mtakula yale yanayoota yenyewe mashambani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Mwaka huo ni wa sikukuu kwenu; utakuwa mwaka mtakatifu. Hivyo mtakula yale yanayoota yenyewe mashambani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Kwa kuwa ni Yubile, nayo itakuwa takatifu kwenu; mtakula tu kile kilichotoka moja kwa moja mashambani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Kwa kuwa ni yubile, nayo itakuwa takatifu kwenu; mtakula tu kile kilichotoka moja kwa moja mashambani.

Tazama sura Nakili

Walawi 25:12
3 Marejeleo ya Msalaba  

Mwaka huo wa hamsini utakuwa ni jubilii kwenu; msipande mbegu, wala msivune kitu hicho kimeacho chenyewe, wala msizitunde zabibu za mizabibu isiyopelewa.

Mwaka huo wa jubilii mtairudia kila mtu milki yake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo