Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Walawi 24:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

19 Na mtu akimtia mwenziwe kilema; vile vile kama alivyofanya, naye atafanyiwa vivyo hivyo;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Mtu yeyote anayemwumiza jirani, ni lazima naye aumizwe kulingana na kiasi alichomwumiza jirani yake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Mtu yeyote anayemwumiza jirani, ni lazima naye aumizwe kulingana na kiasi alichomwumiza jirani yake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Mtu yeyote anayemwumiza jirani, ni lazima naye aumizwe kulingana na kiasi alichomwumiza jirani yake,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Ikiwa mtu yeyote atamjeruhi jirani yake, chochote alichomtenda naye atatendewa:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Ikiwa mtu yeyote atamjeruhi jirani yake, chochote alichomtenda naye atatendewa:

Tazama sura Nakili




Walawi 24:19
9 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini kwamba pana madhara zaidi, ndipo utatoza uhai kwa uhai,


jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu,


kuteketeza kwa kuteketeza, jeraha kwa jeraha, chubuko kwa ajili ya chubuko.


na atakayempiga mnyama hadi akafa atalipa; uhai kwa uhai.


jeraha kwa jeraha, jicho kwa jicho, jino kwa jino; vile vile kama alivyomtia mtu kilema, naye atalipwa vivyo hivyo.


Mmesikia kwamba imenenwa, Jicho kwa jicho, na jino kwa jino;


Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa.


Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.


Adoni-bezeki akasema, Wafalme sabini, waliokuwa wamekatwa vidole vyao vya gumba vya mikono na vya miguu, waliokota chakula chao chini ya meza yangu; kama nilivyofanya mimi, Mungu amenilipa vivyo hivyo. Wakamleta Yerusalemu naye akafa kuko.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo