Walawi 24:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Nao wakamtia kifungoni, ili wapate kuambiwa neno litakalotoka kinywani pa BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 wakamtia ndani mpaka hapo watakapofunuliwa matakwa ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 wakamtia ndani mpaka hapo watakapofunuliwa matakwa ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 wakamtia ndani mpaka hapo watakapofunuliwa matakwa ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Nao wakamweka mahabusu hadi mapenzi ya Mwenyezi Mungu yawe wazi kwao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Nao wakamweka mahabusu mpaka mapenzi ya bwana yawe wazi kwao. Tazama sura |