Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Walawi 23:44 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

44 Naye Musa akawaambia wana wa Israeli hizo sikukuu za BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

44 Mose akawatangazia Waisraeli sikukuu za Mwenyezi-Mungu zilizopangwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

44 Mose akawatangazia Waisraeli sikukuu za Mwenyezi-Mungu zilizopangwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

44 Mose akawatangazia Waisraeli sikukuu za Mwenyezi-Mungu zilizopangwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

44 Kwa hiyo Musa akawatangazia Waisraeli sikukuu zilizoamriwa na Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

44 Kwa hiyo Musa akawatangazia Waisraeli sikukuu zilizoamriwa na bwana.

Tazama sura Nakili




Walawi 23:44
5 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Musa akanena na Haruni na wanawe, na wana wa Israeli wote.


Sikukuu za BWANA ni hizi, ambazo mtazipiga mbiu ya kuwa ni makusanyiko matakatifu, ili mmsongezee BWANA sadaka kwa moto, sadaka ya kuteketezwa, na sadaka ya unga, na dhabihu, na sadaka za kinywaji, kila sadaka kwa siku yake;


Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia,


Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo