Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Walawi 23:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

31 Msifanye kazi ya namna yoyote; ni amri ya milele katika vizazi vyenu, katika makao yenu yote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Msifanye kazi: Hili ni sharti la kufuata milele katika vizazi vyenu, na katika makao yenu yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Msifanye kazi: Hili ni sharti la kufuata milele katika vizazi vyenu, na katika makao yenu yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Msifanye kazi: hili ni sharti la kufuata milele katika vizazi vyenu, na katika makao yenu yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Hamtafanya kazi kamwe. Hili litakuwa agizo la kudumu kwa vizazi vijavyo popote mnapoishi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Hamtafanya kazi kamwe. Hili litakuwa agizo la kudumu kwa vizazi vijavyo popote mnapoishi.

Tazama sura Nakili




Walawi 23:31
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na amri hii itakuwa amri ya milele kwenu, ili kufanya upatanisho kwa ajili ya wana wa Israeli kwa sababu ya dhambi zao zote, mara moja kila mwaka. Naye akafanya vile vile kama BWANA alivyomwamuru Musa.


Nanyi msile mkate, bisi, au masuke machanga, hata siku iyo hiyo, hadi mtakapokuwa mmekwisha kuleta sadaka ya Mungu wenu; hii ni amri ya milele katika vizazi vyenu katika makao yenu yote.


Nanyi mtatangaza suku iyo hiyo; kutakuwa na kusanyiko takatifu kwenu; msifanye kazi yoyote ya utumishi; ni amri ya milele katika makao yenu yote, katika vizazi vyenu.


Na mtu yeyote afanyaye kazi ya namna yoyote siku hiyo, mtu huyo nitamwangamiza atoke katika watu wake.


Itakuwa kwenu sabato ya kustarehe kabisa, nanyi mtajinyima; siku ya tisa ya mwezi wakati wa jioni, tangu jioni hadi jioni, mtaishika hiyo Sabato yenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo