Walawi 22:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Tena kama ni ng'ombe, au kondoo, msimchinje huyo na mwanawe, wote wawili kwa siku moja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Lakini usimchinje ng'ombe au kondoo siku moja pamoja na ndama wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Lakini usimchinje ng'ombe au kondoo siku moja pamoja na ndama wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Lakini usimchinje ng'ombe au kondoo siku moja pamoja na ndama wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Usimchinje ng’ombe na ndama wake, au kondoo na kitoto chake siku moja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Usimchinje ng’ombe na ndama wake, au kondoo na kitoto chake siku moja. Tazama sura |