Walawi 22:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Wala wasivinajisi vitu vitakatifu vya wana wa Israeli, wavisongezavyo kwa BWANA; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Kuhani asivitie unajisi vitu ambavyo Waisraeli wamemtolea Mwenyezi-Mungu Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Kuhani asivitie unajisi vitu ambavyo Waisraeli wamemtolea Mwenyezi-Mungu Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Kuhani asivitie unajisi vitu ambavyo Waisraeli wamemtolea Mwenyezi-Mungu Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Kamwe makuhani wasiinajisi sadaka takatifu ambayo Waisraeli wameitoa kwa Mwenyezi Mungu Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Kamwe makuhani wasiinajisi sadaka takatifu ambayo Waisraeli wameitoa kwa bwana Tazama sura |
Makuhani wake wameivunja sheria yangu, wametia unajisi vitu vyangu vitakatifu; hawakuweka tofauti ya vitu vitakatifu na vitu vya kutumiwa sikuzote; wala hawakuwafundisha watu kupambanua vitu vichafu na vitu vilivyo safi, nao wamefumba macho yao, wasiziangalie sabato zangu, nami nimetiwa unajisi kati yao.