Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Walawi 22:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 Na binti ya kuhani ikiwa ameolewa na mgeni, asile katika sadaka ya kuinuliwa katika vitu vile vitakatifu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Kama binti yake kuhani ameolewa na mtu asiye kuhani, haruhusiwi kula sadaka ya vitu vitakatifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Kama binti yake kuhani ameolewa na mtu asiye kuhani, haruhusiwi kula sadaka ya vitu vitakatifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Kama binti yake kuhani ameolewa na mtu asiye kuhani, haruhusiwi kula sadaka ya vitu vitakatifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Ikiwa binti ya kuhani ameolewa na mtu asiye kuhani, binti huyo haruhusiwi kula chochote cha matoleo matakatifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Ikiwa binti wa kuhani ameolewa na mtu asiye kuhani, binti huyo haruhusiwi kula chochote cha matoleo matakatifu.

Tazama sura Nakili




Walawi 22:12
4 Marejeleo ya Msalaba  

Ni nani aliyemwongoza Roho ya BWANA, na kumfundisha kwa kuwa mshauri wake?


na kwa ajili ya dada yake aliye mwanamwali, aliye wa udugu kwake, ambaye hajaolewa na mwanamume; ana ruhusa kujitia unajisi kwa ajili yake huyo.


Lakini kuhani akinunua mtu yeyote kwa fedha zake, yeye atakula katika hicho; na hao waliozaliwa nyumbani mwake watakula katika chakula chake.


Lakini ikiwa binti ya kuhani ni mjane, au ameachwa na mumewe, wala hana mtoto, kisha amerudi na kuishi katika nyumba ya baba yake, kama vile katika ujana wake, yeye atakula katika chakula cha baba yake; lakini mgeni yeyote asile katika chakula hicho.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo