Walawi 21:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 na kwa ajili ya dada yake aliye mwanamwali, aliye wa udugu kwake, ambaye hajaolewa na mwanamume; ana ruhusa kujitia unajisi kwa ajili yake huyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 au dada yake ambaye (aliye wa jamaa yake ya karibu), naye hajaolewa bado. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 au dada yake ambaye (aliye wa jamaa yake ya karibu), naye hajaolewa bado. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 au dada yake ambaye (aliye wa jamaa yake ya karibu), naye hajaolewa bado. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 au dada yake asiyeolewa ambaye anamtegemea kwa kuwa hana mume, kwa ajili ya hao aweza kujitia unajisi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 au dada yake asiyeolewa ambaye anamtegemea kwa kuwa hana mume, kwa ajili ya hao aweza kujitia unajisi. Tazama sura |