Walawi 20:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Tena kama wenyeji wa nchi wakimfumbia macho mtu huyo kwa njia yoyote, hapo atoapo katika kizazi chake na kumpa Moleki, wasimwue; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Kama wananchi wa mahali hapo hawatamwadhibu mtu huyo kwa kumuua, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Kama wananchi wa mahali hapo hawatamwadhibu mtu huyo kwa kumuua, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Kama wananchi wa mahali hapo hawatamwadhibu mtu huyo kwa kumuua, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Ikiwa watu wa jumuiya watafumba macho yao wakati mtu huyo anapomtoa kafara mmoja wa watoto wake kwa Moleki, nao wakaacha kumuua, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Ikiwa watu wa jumuiya watafumba macho wakati mtu huyo anapomtoa mmoja wa watoto wake kwa mungu Moleki, nao wakaacha kumuua, Tazama sura |