Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Walawi 20:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

19 Usifunue utupu wa dada ya mama yako, wala dada ya baba yako; kwa kuwa huyo amefunua utupu wa jamaa yake ya karibu; watalipizwa kwa uovu wao.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Usilale na dada ya mama yako wala na shangazi yako, maana hao ni jamaa yako wa karibu. Wote watendao hayo watawajibika kwa uovu wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Usilale na dada ya mama yako wala na shangazi yako, maana hao ni jamaa yako wa karibu. Wote watendao hayo watawajibika kwa uovu wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Usilale na dada ya mama yako wala na shangazi yako, maana hao ni jamaa yako wa karibu. Wote watendao hayo watawajibika kwa uovu wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 “ ‘Usikutane kimwili na dada wa mama yako wala wa baba yako, kwa maana hilo litamwaibisha jamaa wa karibu; ninyi wawili mtawajibika kwa ajili ya uovu huo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 “ ‘Usikutane kimwili na dada wa mama yako wala wa baba yako, kwa maana hilo litamwaibisha jamaa wa karibu; ninyi wawili mtawajibika kwa ajili ya uovu huo.

Tazama sura Nakili

Walawi 20:19
3 Marejeleo ya Msalaba  

Huyo Amramu akamwoa Yokebedi shangazi yake; naye akamzalia Haruni, na Musa; na miaka ya maisha yake Amramu ilikuwa ni miaka mia moja na thelathini na saba.

Mtu yeyote miongoni mwenu asimkaribie mwenziwe aliye wa jamaa yake ya karibu ili kumfunua utupu; mimi ndimi BWANA.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo