Walawi 19:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 Msifanye yasiyo haki katika hukumu, wala katika kupima, wala katika mizani, wala katika cheo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 “Usikose kamwe kuamua kwa haki kuhusu vipimo vya urefu, uzito na ujazo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 “Usikose kamwe kuamua kwa haki kuhusu vipimo vya urefu, uzito na ujazo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 “Usikose kamwe kuamua kwa haki kuhusu vipimo vya urefu, uzito na ujazo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 “ ‘Usitumie vipimo vya udanganyifu unapopima urefu, kupima uzito, wala kupima wingi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 “ ‘Usitumie vipimo vya udanganyifu unapopima urefu, kupima uzito, wala kupima wingi. Tazama sura |