Walawi 18:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 (kwa kuwa hao watu wa nchi wameyafanya machukizo haya yote, hao waliotangulia mbele zenu, na hiyo nchi imekuwa najisi;) Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Machukizo hayo waliyafanya watu waliokaa katika nchi ya Kanaani kabla yenu, nao wakaitia nchi unajisi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Machukizo hayo waliyafanya watu waliokaa katika nchi ya Kanaani kabla yenu, nao wakaitia nchi unajisi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Machukizo hayo waliyafanya watu waliokaa katika nchi ya Kanaani kabla yenu, nao wakaitia nchi unajisi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 kwa kuwa mambo haya yote yalifanywa na watu walioishi katika nchi hii kabla yenu, na nchi ikawa najisi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 kwa kuwa mambo haya yote yalifanywa na watu walioishi katika nchi hii kabla yenu, na nchi ikawa najisi. Tazama sura |