Walawi 18:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Usifunue utupu wa dada ya mama yako; maana, yeye ni jamaa ya mama yako wa karibu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Kamwe usilale na dada wa mama yako; kwani huyo ni mama yako mkubwa au mdogo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Kamwe usilale na dada wa mama yako; kwani huyo ni mama yako mkubwa au mdogo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Kamwe usilale na dada wa mama yako; kwani huyo ni mama yako mkubwa au mdogo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 “ ‘Usikutane kimwili na dada wa mama yako, kwa sababu ni ndugu wa mama yako wa karibu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 “ ‘Usikutane kimwili na dada wa mama yako, kwa sababu ni ndugu wa mama yako wa karibu. Tazama sura |