Walawi 18:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Utupu wa binti ya mwanao wa kiume, au wa binti ya binti yako, utupu wao hao usifunue; kwa kuwa ni utupu wako mwenyewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Kamwe usilale na mjukuu wako, mtoto wa mwanao au binti yako; maana sehemu zao za siri ni kama zako mwenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Kamwe usilale na mjukuu wako, mtoto wa mwanao au binti yako; maana sehemu zao za siri ni kama zako mwenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Kamwe usilale na mjukuu wako, mtoto wa mwanao au binti yako; maana sehemu zao za siri ni kama zako mwenyewe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 “ ‘Usikutane kimwili na binti ya mwanao ama binti ya binti yako; utajivunjia heshima. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 “ ‘Usikutane kimwili na binti wa mwanao ama binti wa binti yako; utajivunjia heshima. Tazama sura |