Walawi 16:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Na Haruni atapiga kura juu ya wale mbuzi wawili; kura moja kwa ajili ya BWANA; na kura ya pili kwa ajili ya Azazeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Atawapigia kura hao beberu wawili, kura moja kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu na nyingine kwa ajili ya Azazeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Atawapigia kura hao beberu wawili, kura moja kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu na nyingine kwa ajili ya Azazeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Atawapigia kura hao beberu wawili, kura moja kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu na nyingine kwa ajili ya Azazeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Haruni atapiga kura kwa ajili ya hao mbuzi wawili, mmoja kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na mwingine kwa ajili ya kubebeshwa dhambi za Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Haruni atapiga kura kwa ajili ya hao mbuzi wawili, mmoja kwa ajili ya bwana na mwingine kwa ajili ya kubebeshwa dhambi. Tazama sura |