Walawi 16:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Na yule mbuzi atachukua juu yake uovu wao wote, mpaka nchi isiyokaliwa na watu; kisha atamwacha aende jangwani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Atamwacha huyo beberu aende jangwani, mahali pasipokuwa na watu, akiwa ameyachukua maovu yao yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Atamwacha huyo beberu aende jangwani, mahali pasipokuwa na watu, akiwa ameyachukua maovu yao yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Atamwacha huyo beberu aende jangwani, mahali pasipokuwa na watu, akiwa ameyachukua maovu yao yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Yule mbuzi atachukua juu yake dhambi zao zote hadi mahali pasipo na watu; naye yule mtu atamwachia akimbilie jangwani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Yule mbuzi atachukua juu yake dhambi zao zote mpaka mahali pasipo na watu; naye yule mtu atamwachia akimbilie jangwani. Tazama sura |