Walawi 16:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 BWANA akasema na Musa, baada ya kufa kwa hao wana wawili wa Haruni, walipokaribia mbele za BWANA, wakafa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mwenyezi-Mungu alizungumza na Mose, baada ya wana wawili wa Aroni kufa wakati ule walipomkaribia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mwenyezi-Mungu alizungumza na Mose, baada ya wana wawili wa Aroni kufa wakati ule walipomkaribia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mwenyezi-Mungu alizungumza na Mose, baada ya wana wawili wa Aroni kufa wakati ule walipomkaribia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Mwenyezi Mungu akasema na Musa baada ya kifo cha wale wana wawili wa Haruni waliokufa walipokaribia mbele za Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 bwana akasema na Musa baada ya kifo cha wale wana wawili wa Haruni waliokufa walipokaribia mbele za bwana. Tazama sura |