Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Walawi 15:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

9 Na tandiko lolote atakalolipanda mwenye kisonono litakuwa najisi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Tandiko lolote la mnyama aliloketia mtu anayetokwa na usaha litakuwa najisi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Tandiko lolote la mnyama aliloketia mtu anayetokwa na usaha litakuwa najisi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Tandiko lolote la mnyama aliloketia mtu anayetokwa na usaha litakuwa najisi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 “ ‘Kila tandiko ambalo mtu huyo atalikalia wakati wa kupanda mnyama litakuwa najisi,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 “ ‘Kila tandiko ambalo mtu huyo atalikalia wakati wa kupanda mnyama litakuwa najisi,

Tazama sura Nakili

Walawi 15:9
3 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Raheli alikuwa amevitwaa vile vinyago ameviweka katika matandiko ya ngamia, na kuvikalia. Labani akapapasa hema yote wala hakuviona.

Mtu yeyote atakayegusa kitu chochote kilichokuwa chini yake huyo atakuwa najisi hadi jioni; na mtu atakayevichukua vitu vile atazifua nguo zake, na kuoga majini, naye atakuwa najisi hadi jioni.

Tena kama mwenye kisonono akimtemea mate mtu aliye safi; ndipo atazifua nguo zake, na kuoga majini, naye atakuwa ni najisi hadi jioni.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo