Walawi 15:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Hii ndiyo sheria ya mwenye kisonono, na ya mtu ambaye shahawa yake inamtoka, akawa na unajisi kwa ajili yake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Hiyo ndiyo sheria kuhusu mwanamume anayetokwa na usaha na anayetokwa na shahawa na kuwa najisi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Hiyo ndiyo sheria kuhusu mwanamume anayetokwa na usaha na anayetokwa na shahawa na kuwa najisi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Hiyo ndiyo sheria kuhusu mwanamume anayetokwa na usaha na anayetokwa na shahawa na kuwa najisi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Haya ni masharti kwa ajili ya mtu mwenye kutokwa na usaha, kwa ajili ya yeyote atakayetokwa na shahawa, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Haya ni masharti kwa ajili ya mtu mwenye kutokwa na usaha, kwa ajili ya yeyote atakayetokwa na shahawa, Tazama sura |