Walawi 15:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Kiwe ni katika kitanda, au chochote alichokikalia huyo mwanamke, atakapokigusa kitu hicho, atakuwa najisi hadi jioni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Mwanamume yeyote atakayegusa kitu chochote alicholalia au kukalia huyo mwanamke, atakuwa najisi mpaka jioni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Mwanamume yeyote atakayegusa kitu chochote alicholalia au kukalia huyo mwanamke, atakuwa najisi mpaka jioni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Mwanamume yeyote atakayegusa kitu chochote alicholalia au kukalia huyo mwanamke, atakuwa najisi mpaka jioni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Kiwe ni kitanda ama chochote alichokuwa amekikalia, ikiwa mtu yeyote atakigusa, atakuwa najisi hadi jioni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Kiwe ni kitanda ama chochote alichokuwa amekikalia, ikiwa mtu yeyote atakigusa, atakuwa najisi mpaka jioni. Tazama sura |