Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Walawi 15:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Na kitu chochote ambacho anakalia katika kutengwa kwake kitakuwa najisi; na kila kitu ambacho amekalia kitakuwa najisi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Kitu chochote anacholalia au kukalia wakati yu najisi, kitakuwa najisi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Kitu chochote anacholalia au kukalia wakati yu najisi, kitakuwa najisi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Kitu chochote anacholalia au kukalia wakati yu najisi, kitakuwa najisi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 “ ‘Chochote atakacholalia wakati wake wa hedhi kitakuwa najisi, na chochote atakachokikalia kitakuwa najisi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 “ ‘Chochote atakacholalia wakati wake wa hedhi kitakuwa najisi, na chochote atakachokikalia kitakuwa najisi.

Tazama sura Nakili




Walawi 15:20
12 Marejeleo ya Msalaba  

Kama huna kitu cha kulipa; Kwani ukaondolee kitanda chako chini yako?


Yakulinde na mwanamke mwovu, asikupate, Na kukuponya na ubembelezi wa mgeni.


Hatakubali fidia yoyote; Wala hatakuwa radhi, ujapomlipa vitu vingi.


Nami nimeona lililo na uchungu kupita mauti; yaani, mwanamke ambaye moyo wake ni mitego na tanzi, na mikono yake ni kama vifungo; yeye ampendezaye Mungu atamponyoka, bali mwenye dhambi atanaswa na yeye.


Mwanamke yeyote aliye na hedhi, atatengwa kwa muda wa siku saba; na mtu yeyote atakayemgusa atakuwa najisi hadi jioni.


Mtu yeyote atakayekigusa kitanda chake huyo mwanamke atazifua nguo zake, na kuoga majini, naye atakuwa najisi hadi jioni.


Msidanganyike; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo