Walawi 15:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Na siku ya nane atajipatia hua wawili, au makinda mawili ya njiwa, naye atakwenda mbele za BWANA mlangoni pa hema ya kukutania, naye atampa kuhani hao ndege; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Siku ya nane, ni lazima alete hua wawili au makinda mawili ya njiwa mbele ya Mwenyezi-Mungu mlangoni mwa hema la mkutano na kumkabidhi kuhani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Siku ya nane, ni lazima alete hua wawili au makinda mawili ya njiwa mbele ya Mwenyezi-Mungu mlangoni mwa hema la mkutano na kumkabidhi kuhani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Siku ya nane, ni lazima alete hua wawili au makinda mawili ya njiwa mbele ya Mwenyezi-Mungu mlangoni mwa hema la mkutano na kumkabidhi kuhani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Siku ya nane, atachukua hua wawili au makinda wawili wa njiwa, aje mbele za Mwenyezi Mungu kwenye ingilio la Hema la Kukutania, na kumpa kuhani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Siku ya nane, atachukua hua wawili au makinda mawili ya njiwa, aje mbele za bwana kwenye ingilio la Hema la Kukutania, na kumpa kuhani. Tazama sura |