Walawi 14:56 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC56 na kivimbe, na kikoko na kipaku king'aacho; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema56 uvimbe, jipu au kipaku, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND56 uvimbe, jipu au kipaku, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza56 uvimbe, jipu au kipaku, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu56 kwa uvimbe, upele, au alama nyeupe katika ngozi, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu56 kwa uvimbe, vipele au kipaku king’aacho, Tazama sura |
na huyo kuhani ataliangalia hilo pigo lililo katika ngozi ya mwili; na nywele zilizoko katika hilo pigo zimegeuka kuwa nyeupe, na hilo pigo kuonekana kwake limeingia ndani kuliko ile ngozi ya mwili wake, ni pigo la ukoma hilo; na ikiwa nywele zilizoko katika sehemu zilizougua zimegeuka rangi na kuwa nyeupe, na hilo pigo kuonekana limeingia ndani kuliko ile ngozi ya mwili, hilo ni pigo la ukoma,