Walawi 14:54 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC54 Hiyo ndiyo sheria ya pigo la ukoma ya kila aina, na ya kipwepwe; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema54 Hii ndiyo sheria kuhusu aina yoyote ya namna ya upele wa ukoma; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND54 Hii ndiyo sheria kuhusu aina yoyote ya namna ya upele wa ukoma; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza54 Hii ndiyo sheria kuhusu aina yoyote ya namna ya upele wa ukoma; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu54 Haya ndio masharti kuhusu aina yoyote ya ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza, kidonda chochote, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu54 Haya ndiyo masharti kuhusu aina yoyote ya ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza, mwasho wowote, Tazama sura |
na huyo kuhani ataliangalia hilo pigo lililo katika ngozi ya mwili; na nywele zilizoko katika hilo pigo zimegeuka kuwa nyeupe, na hilo pigo kuonekana kwake limeingia ndani kuliko ile ngozi ya mwili wake, ni pigo la ukoma hilo; na ikiwa nywele zilizoko katika sehemu zilizougua zimegeuka rangi na kuwa nyeupe, na hilo pigo kuonekana limeingia ndani kuliko ile ngozi ya mwili, hilo ni pigo la ukoma,