Walawi 14:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 kisha kuhani ataagiza ndege mmoja achinjwe katika chombo cha udongo kilicho juu ya maji ya mtoni; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Kuhani atawaamuru wamchinje ndege mmoja katika chungu chenye maji safi ya chemchemi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Kuhani atawaamuru wamchinje ndege mmoja katika chungu chenye maji safi ya chemchemi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Kuhani atawaamuru wamchinje ndege mmoja katika chungu chenye maji safi ya chemchemi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Kisha kuhani ataagiza kwamba mmoja wa ndege wale achinjwe kwenye chungu chenye maji safi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Kisha kuhani ataagiza kwamba mmoja wa ndege wale achinjwe kwenye chungu chenye maji safi. Tazama sura |