Walawi 14:47 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC47 Na mtu alalaye ndani ya nyumba hiyo atazifua nguo zake, naye alaye chakula ndani ya nyumba hiyo atazifua nguo zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema47 Yeyote anayelala katika nyumba hiyo au kulia chakula ndani yake, lazima ayafue mavazi yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND47 Yeyote anayelala katika nyumba hiyo au kulia chakula ndani yake, lazima ayafue mavazi yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza47 Yeyote anayelala katika nyumba hiyo au kulia chakula ndani yake, lazima ayafue mavazi yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu47 Yeyote atakayelala au kula ndani ya nyumba hiyo ni lazima afue nguo zake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu47 Yeyote atakayelala au kula ndani ya nyumba hiyo ni lazima afue nguo zake. Tazama sura |