Walawi 14:45 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC45 Naye ataibomoa nyumba, mawe yake, na miti yake, na chokaa yote ya hiyo nyumba; naye atavichukua vyote nje ya mji hadi mahali palipo na uchafu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema45 Nyumba hiyo ni lazima ibomolewe na mawe yake, miti yake na lipu vipelekwe mahali najisi nje ya mji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND45 Nyumba hiyo ni lazima ibomolewe na mawe yake, miti yake na lipu vipelekwe mahali najisi nje ya mji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza45 Nyumba hiyo ni lazima ibomolewe na mawe yake, miti yake na lipu vipelekwe mahali najisi nje ya mji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu45 Ni lazima ibomolewe: mawe yake, mbao na chokaa yote; vyote vikatupwe nje ya mji mahali palipo najisi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu45 Ni lazima ibomolewe: mawe yake, mbao na lipu yake, vyote vikatupwe nje ya mji mahali palipo najisi. Tazama sura |