Walawi 14:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC40 ndipo kuhani atawaambia wayatoe hayo mawe, yaliyo na pigo, na kuyatupa mahali penye uchafu nje ya mji; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 kuhani ataamuru mawe yaliyoko kwenye sehemu zenye upele yatolewe na kutupwa mahali najisi nje ya mji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 kuhani ataamuru mawe yaliyoko kwenye sehemu zenye upele yatolewe na kutupwa mahali najisi nje ya mji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 kuhani ataamuru mawe yaliyoko kwenye sehemu zenye upele yatolewe na kutupwa mahali najisi nje ya mji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 ataagiza kwamba mawe yote yaliyoambukizwa yaondolewe na kutupwa katika eneo lililo najisi nje ya mji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 ataagiza kwamba mawe yote yaliyoambukizwa yaondolewe na kutupwa katika eneo lililo najisi nje ya mji. Tazama sura |